Thursday, June 9, 2011

Baada ya kukata keki wageni waalikwa waliampongeza Askofu Norbet Mtega alianza Rais Mstaafu Mkapa.

 Mkapa ,Mtega na Askofu wa Jimbo la Lindi Askofu Bruno Ngonyani

 Rais Mstaafu Benjemini Mkapa Kibusu Pete baada ya kutoa zawadi na kuaga kuondoka wakati sherehe zikiendelea katika kutoa zawadi.
 Norbert Mtega na Mkapa waki tafakari wakati wageni wakielekea kupeleka zawadi.
 Aslofu wa Aglikana Kapinga akitoa zawadi yake kwa niaba ya Dayosisi yake
 Masista na hawakuwa nyuma
 Zawadi ziliendelea kutolewa

Kitambaa hicho amepewa zawadi na masista wa shirika kutoka India wenye Chuo kikuu cha sayansi ya Computer Ruhuwiko Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.

No comments:

Post a Comment