Monday, June 6, 2011

MAMBO YAKO HIVI KWA MABASI YAENDAYO VIJIJINI

 Pengine unaweza kusema Mabasi ya siku hizi mizigo inawekwa ndani ya buti la basi,ni sawa kabisa kwa mabasi makubwa yaendeyo nje ya mkoa,lakini haya ya vijijini lazima mizigo ipandishwe juu na ndiyo maana wameweka na ngazi ya kupandia,hata hivyo hata kama hayaendi vijijini kuweka mizigo juu ya basi kunasaidia katika kubadilishiwa mizigo ama kuibiwa na watu wasio waaminifu.
Hayo mabasi mengi yamepangiwa nja za vijijini hata kukiwa na mvua mizigo haiwezi kulowana kwakuwa wanafunika na turubai.Hapa ni standi kuu ya Songea ndipo utayakuta mabasi hayo.

No comments:

Post a Comment