Wednesday, June 1, 2011

SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI DKT MOHAMEDI GHARIB BILALI AFANYA UZINDUZI HUO KATIKA UWANJA WA MAJIMAJI MJINI SONGEA LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohamed Gharib Bilali mwenye suti light blue na kofia nyeupe wakielekea kwenye mabanda ya maonyesho ya mazingira katika uwanja wa majimaji leo mjini Songea Mkoani Ruvuma kabla ya uzinduzi huo.
 Dkt Bilali apata maelezo kutoka kwa mdau wa mazingira yanavyo tunzwa na yanavyo haribiwa vibaya na watu,faida na hasara ya kuharibu mazingira.
Vijana na wananchi katika Manispaa ya Songea leo

No comments:

Post a Comment