Sunday, June 5, 2011

PADRE JOHN NDIMBO WA LIKONDE LEO AMEWEKWA WAKFU KUWA ASKOFU WA JIMBO LA MBINGA

 Baadhi ya waumini na masista wakiwa katika misa takatifu ya kuwekwa wakfu Askofu John Ndimbo katika kanisa la Jimbo la mbinga.
Sasa Askofu Ndimbo aliyekaa amekubali kuwekwa wakfu kuwa Askofu wa Jimbo la Mbinga 
Rais Jakaya Kikwete na Rais Mstafu Williamu Mkapa walialikwa kwenye sherehe hizo na baadaye nitawaletea Hotuba ya Rais.

No comments:

Post a Comment