Saturday, June 4, 2011

RAIS MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANAZANI WILIAM BENJAMINI MKAPA NA MKEWA WALIWASILI MJINI SONGEA KWA SHUGHULI MAALUMU

 Rais Mstaafu William Mkapa  na mkewe akishuka kwenye ndege iliyowaleta katika uwanja wa ndege wa Ruhuwiko Songea kwa shughuli za Jubilee ya Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Songea Mhashamu Norbert Mtenga na Hanga.

 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Wiliamu Benjamini Mkapa akivishwa Sakfu na Skauti baada ya kutua uwanaja wa ndege Ruhuwiko Songea Jana.
Mzee Mustafa Songa Mbele akisalimiana na Rais Mstaafu William Mkapa baada ya kushuka kwenye ndege jana Mjini Songea.

No comments:

Post a Comment