Monday, August 8, 2011

WATU WAHAHA KUTAFUATA MAFUTA YA PETROL NA DIESEL MJINI SONGEA

  Mji wa Songe leo ni siku ya tano hauna umeme,hivyo wenye visima vya mafuta ya petrol na diesel walinufaika sana kwa watu wanaotumia jenereta majumbani mwao kufufua umeme wao.Sasa leo visima vyote mjini hapa hakuna mafuta hayo sijui kweli hawana au ni mbinu ya kupandisha bei.
Foleni hiyo ni waendesha pikipiki wakingoja zamu yao wanunue petroli.kwa Kisuma Pai filling station

Hiyo nayo ni foleni ya magari yakingoje huduma ya mafuta katika kituo hicho cha Kisuma Pahi ambo ndipo kuna mafuta vituo vingine wanadai hawana mafuta.

No comments:

Post a Comment