Saturday, August 13, 2011

RAIS KIKWETE ATAHADHARISHA WAKATAJI WA MITI KIHOLELA KWA AJILI YA MIKAA

Rais Kikwete awatahadharisha wananchi wenye tabia ya kukata miti kwa ajili ya uchomaji wa mkaa,kwani ukataji wa miti utasababisha jangwa ,.Rais alisema hayo na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam,kuwa miti itasalimika iwapo kutakuwapo na umeme wa kutosha kwa matumizi kupikia.
Nishati za umeme zikiwa za kutosha kutainusuru miti kukatw kwa ajili ya matumizi ya mkaa.

Alisema mazingira na miti itanusurika kukatwa na watu wanaotaka kupata kipato kwa kuuza mkaa,mbao,nguzo na kujenga vibanda.

Aidha kwa kuwa uharibifu wa mazingira umekuwa kwa kiasi kikubwa kiasi kama waliyopewa dhamana ya utunzaji wa mazingira hawatakuwa makini nchi hii itaingia kwenye jangwa.


           

No comments:

Post a Comment