Friday, August 5, 2011

PROFESA MULUGO AFIKA SONGEA KUSULUHISHA MADAI YA WALIMU WA CHUO CHA UALIMU SONGEA

 Naibu Waziri wa elimu na Mafunzo ya ufundi Prof.Philipo Mulugo aliyevaa suti ya bluu akipewa maelezo kutoka kwa mwenyeji wake REO wa Mkoa wa Ruvuma Bibi Paulina Mkonongo kuhusu sakata la madai ya wakufunzi wa chuo cha ualimu Matogoro.
 Makamu wa Mkuu wa chuo cha Ualimu Matogoro Bibi Nchimbi akimtajia Naibu waziri wa Elimu madai wa walimu hao hata kukataa kuingia madarasani hadi walipwe.
 Mwenye kiti wa CWT Bwana Osmund kapinga anasema tutatue mgogoro kwa amani na utulivu

Naibu waziri akipewa orodha ya baadhi ya walimu hao yaliyoshughulikiwa wizarani na mwisho wa mwezi huu madai hayo yatakuwa yamelipwa.kutoka kwa Mkurugenzi msaidizi Bibi Lihawa wa katikati.na Bibi Lukuna wa Utawala.katika ukumbi wa Heritegi hapa songea usiku huu.

1 comment: