Thursday, August 11, 2011

Mulugo alisalimiana na wanachuo cha ualimu Songea baada ya kupokelewa

 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe.Philipo Mulugo akisalimiana na wachuo cha ualimu Songea hivi karibuni alipofanya ziara ya kikazi mjini songea.


 Wananchuo na wakufunzi wakimsikiliza Naibu waziri.

Picha ya hapo chini ni wanachuo wakielekea aliko Naibu waziri kabla ya kuongea nao.

No comments:

Post a Comment