Friday, August 12, 2011

VYUO VYA VETA VIPELEKWA WIZARA NYINGINE KWA KUWA WIZARA YA ELIMU IMEELEMEWA NA MAMBO MENGI - MHAGAMA

 Mheshimiwa Jenista Mhagama alisema vyuo vya VETA vingepelekwa kwenye wizara ya Habari,Utamaduni na vijiana kwa kuwa wizara ya elimu imezidiwa kwa kuwa na mambo mengi,vijana hawa ambo ni wengi ambao hawana ajira wakijiunga katika vyuo hiyvo kusomea fani mbalimbali watajiajiri ili wamudu maisha yao na kuongeza kipato kwa taifa.alisema hayo leo wakati akichangia hoja katika bajeti ya wizara ya Habari Utamaduni na Vijana.
 Baadhi ya mashine za kufundishia katika chuo cha VETA mjini Songea
 Chuo cha VETA Songea
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Philipo Mulugo alipotembelea chuo cha VETA katika Manispaa ya Songea hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment