Thursday, August 11, 2011

Mhutasari wa ziara ya Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Songea hivi karibuni

 Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mulugo akitia saini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa  Ruvuma baada ya kuwasili mkoani humo hivi karibuni
 Wkurugenzi wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi aliyoongozana nao katika msafara wake wakitia saini kitabu cha wageni katika ofisi ya RC Ruvuma.
 Wageni wkipata taarifa fupi kutoka kwa kaimu RAS wa mkoa huo Bwana Tossi ya mgogoro huo wa wakufunzi na walimu wa chuo cha ualimu songea.



 Wanachuo wakiupokea msafara ulipo ingia chuoni hapo
 Gari la kwanza kuingia chuoni hapo
Naibu waziri akisalimiana na mwalimu wa masomo ya kopyuta sayansi ICT chuoni hapo.

No comments:

Post a Comment