Monday, August 8, 2011

NANE NANE VIWANJA VYA MSAMALA ITAFUNGWA KISHO KWA KUWA MKUU WA MKOA HUO MHE.CHRISTINE ISHENGOMA YUKO MKOANI MBEYA KWA SHUGHULI KAMA HIYO

 Kauli mbiu ya KILIMO KWANZA katika maonyesho ya nane nane katika viwanja vya Msamala manispaa ya Songea Sekta ya kilimo wametoa elimu kwa walimaji wa mboga kwa kuwa na bustani za jikoni ( Kitchen Garden ) kama unavyoiona.
hicho ni kishamba darasa cha kilimo cha alizeti aina ya Record
 hiyo ni bustani ya jikoni ambayo mboga inapandwa kwenye mifuko ya mbolea au sukari au ndoo.
 hiyo ni bustani mchanganyiko ya bustani za jikoni na bustani ambazo zinaandaliwa kama bustani nyingine  kwa ajili ya biashara.
 Huyo ni nguruwe na vitoto vyake 9 ambavyo ninapatikani katika uwanja wa maonyesho msamala ama katika kituo cha kilimo na mifugo endelevu  Mahinya Msindo.
huyo ndiyo nguruwe mwenye vitoto 9 ameletwa kwenye maonyesho ni nguruwe bora anazaa watoto wengi akizaa mara nne anampatia mfugaji faida.

No comments:

Post a Comment