Wafanya biashara wenye mashine za kusaga ba kukoboa nafaka na wanaouza samaki wabishi wanaohifadhiwa kwenye majokofu mjini songea wanailalamikia serikali kupitia shirika la umeme Tanzania TENESCO kwa kushindwa kuwasha umeme katika mji huu kwa siku 5,bila hata ya kuwataarifu wateja wake tatizo linalo wafanya washindwe kuwasha umeme.
Kukoekana kwa umeme kuna sababisha wajasiriamali kushindwa kutengeneza bidhaa zao kwa sababu wajasiriamali wengi wanatumia umeme,kama waunganisha vyuma,viwanda vya kuchana mbao,uchapaji,Stationery,photo copy,computer na huduma za hospitali upande wa upasuaji.Mbona tunarudi enzi za ujima.Miaka 50 ya UHURU ndiyo hivi?
No comments:
Post a Comment