Monday, August 8, 2011

ADA YA MAFUNZO YA VETA SONGEA NI RAHISI MMNO,BWENI SHILINGI 120,000/= NA SHILINGI 60,000/= KUTWA

 Kaimu Mkurugelinzi wa VETA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Bibi Susan Mawawi kisoma taarifa ya chuo cha VETA mjini Songea,kwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe.Philipo Mulugo alipotembelea chuo hicho hivi karibuni.Bibi Mawawi alisema mwanafunzi wanafunzi wanalipa ada ya shilingi 120,000/= kwa mwaka bweni na shilingi 60,000/= kwa wanafunzi wa kutwa.na kozi ni miaka mitatu.
 Mkuu wa chuo cha VETA Songea Bw.Gideon Ole Lairumbe akitoa maelezo kwa Na waziri Mhe.  Mulugo katika darasa la useremala alipotembelea katika chuo hicho hivi karibuni.
 Mhe.Mulugo na Mkuu wa chuo cha VETA Bw.Lairumbe wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano
Mhe. Mulugo na msafara wake akiangali gari linalotumika kama zana ya kufundishia mafunzi magari katika chuo cha VETA Mjini Songea.
Naibu waziri aliwapa walimu wakike wawili shilingi 10,000/= kila mmoja kwa umahili wao katika kufundisha fani za umeme na useremela.

No comments:

Post a Comment