Monday, August 8, 2011

WACHEKESHAJI WAMEWAVUTIA WATU KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE MSAMALA SONGEA LEO,

 Wachekeshaji hawa hawafanyi vichesho kwa dezo,bali wanachekesha watu wakivutiwa basi wadondosha pesa.huyo bwana mwenye kirungi anakitambi bandia kikubwa sana lakini ancheza mziki kwa kuchezesha kitambi chake.Kazi ni kazi ilimradi mkono unakwenda kinywani.
  Na huyo katikati bwana aliyejifanya msichana mwenye wowo  bandia kubwa basi na yeye ni maonyesho tosha ya nane nane mjini hapa
Watu wanapenda burudani hivyo umati huo ulivutiwa na wachekeshaji huo,hivyo pamoja na umati huo bahati haikuwa yao maana wamecheza sana lakini hakuna aliyeingiza mkono wake mfukoni.

No comments:

Post a Comment