Tuesday, August 9, 2011

Manispaa ya Songea inatengenza barabara zake ili kuweka hadhi ya Manispaa kama zilivyo manispaa nyingine

 Mpiga picha wa blog hii leo imepitia mitaa hii na kukutana  na wakandarasi wa barabara za Manispaa ya Songea na kuliona       shindiria likishindiria barabara baada ya kufanyika kwa kazi hiyo wataweka lami.
 Mkandarasi  huyo ndiye aliyeweka lami barabara hii na kumwagwa kokoto
Hiyo ni barabara ya manispaa hii iliyowekwa lami na kokoto kama unavyoona.

No comments:

Post a Comment