Dkt Salim Mohamed Salimu kiongea na wanachuo wa chuo kikuu cha kumbu kumbu ya Mwalimu Julius Nyerere kwenye mdahalo ulifanyika katika chuo hicho zamani kilikuwa chuo cha uongozi wa CCM Kigamboni.
Hicho ni chuo kikuu cha kumbu kumbu cha Mwalimu Nyerere
Dkt Salimu Mohamed Salimu
Baadhi ya wanachuo wa chuo hicho
Dkt Salimu mohamed Salimu akisisitiza jambo
Baadhi ya wau wa chuo hicho cha kumbu kumbu cha Mwalimu Nyerere Dar es salaam
Mazimisho ya chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere kuwa mwezi
Novemba mwaka huu.
MWEINYEKITI wa Bodi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere
Mohamed Ahamed Salimu,alisema chama cha upinzani si kuwa wagomvi ama uhasama na
vyama vingine.
Alisema miaka 50 ya kumbukumbu ya chuo hicho,ni faraja kwa
viongozi ambao walipitia katika chuo hicho,alisema awali chuo hicho kilitwa
Kivukoni,kilifundisha viongozi maadili na nidhamu wakiwa kazini.
Aidha alisema vijana sasa wanataka kushika uongozi,lakini
wakumbuke kwenye uongozi lazima kuwe na wazee na vijana pia,mfano yeye alikuwa
balozo wa Misri akiwa mdogo wa miaka 22.
Alisema vijana ni wazee wa baadaye,hakuna anayebakia kijana
moja kwa moja,lazima atakuwa mzee siku moja.alisema hayo alipotembelea chuo
hicho kwenye mdahalo uliyofanyika,Waziri Mkuu msataafu Joseph Sinde Warioba
alikuwepo katika mdahalo huo
No comments:
Post a Comment