Tuesday, August 9, 2011

UKWELI WAFANYA BIASHARA ZA MAFUTA SASA WAMEAMUA KUTUKOMOA ,WENYE VISIMA VYA MAFUTA MJINI SONGEA TOKA JANA WAMEFICHA MAFUTA YAO KWA MADAI KUWA WAMEYAMALIZA ,HUU NDIYO UUNGWANA?

Hivyo ndivyo ilivyo kwenye kituo hiki cha kuuza mafuta Kisuma Pahi jirani sana na Standi ya mabasi  ambaye yeye anauza mafuta lita shilini 2,150/= lakini vituo vya Mdaula Annex,Komba,na Ottawa vyote havina mafuta.Lakini inasemekana kuwa wameyaficha ili baadaye wauze kwa bei ya juu.kwa madai kuwa serikali ilipunguza bei ya mafuta wakati wao walishayanunua mafuta hayo kabla ya tangazo la serikali hivyo watapata hasara.

No comments:

Post a Comment