Sunday, August 7, 2011

CHUO KIKUU CHA SAYANSI YA JAMII SONGEA TAWI LA SAUTI KINATARAJIA KUANZA MWAKA HUU MANISPAA YA SONGEA

 Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Songe Norbert Mtega ameyatoa majengo yake kuwa chuo kikuu cha Sayansi ya Jamii,kwa watakao somea elimu.chuo hicho ni tawi la SAUTI.
 Hilo jengo lina tarajiwa kukamilika hivi karibuni,ambapo ifikapo mwezi Novemba chuo hicho kinaweza kupokea wanachuo na kitachukua wanafunzi 600.
 Campus yake ni kubwa hivyo majengo yote hayo ni ya chuo hicho
 Yote hayo yatakuwa Lecture rooms
Hilo linatarajiwa kuwa hostel ya masista watakao soma katika chuo hicho.Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alitembezwa na Baba Askofu Mtega kuyaona jinsi yalivyo jengwa na kupata maelezo mafupi kuhusu chuo hicho.Aidha Peramiho kijiji cha Morogoro kumejengwa chuo kikuu cha afya kwa ajili ya waganga.na hatimaye chuo cha kikuu cha kilimo,ukweli baada ya miaka kadhaa na Ruvuma itavuma kwa vyuo vya elimu ya juu na vyote hivyo ni vya madhehebu ya dini ya kikristo.


No comments:

Post a Comment