Tuesday, August 16, 2011

ULIMWENGU WA KISWAHILI,KAMA UNAMSAMIATI UNAOKUTATANISHA UPELEKE SIMU NAMBA 0784815651 UTAPATA JIBU

 Ulimwengu wa kiswahili ni kipindi kinachorushwa TBC Kuchambua na kusanifu lugha ya kiwsahili,Mwenyekiti wake ni Mzee Seleman Hega wajumbe ni pamoja na Profesa Abdallah Jumbe Safari,Profesa Masamba na Mwalimu Mohamed Mwinyi
 Mwenyekiti Seleman Hega
Profesa Safari mwenye kofia na Profesa Masamba mwenye koti.kama una neno la kiswahili lina kuletea utata,wapigie simu namba 0784 - 815651 watalichambua kwa makini na utaalamu wa lugha ulivyo.Kiswahili si lugha nyepesi kama tunavyo fikiri ndiyo maana wapo hao maprofesa wa lugha hiyo.

3 comments:

  1. Mwl. Christian, shukrani sana. Naomba email hata ya mmoja wao hao Wanadhuoni wa lugha ya Kiswahili (Safari au Masamba) unitumie kwenye email yangu mchirangi@gmail.com

    ReplyDelete
  2. Bwana Musuto wa Chirangi,nashukuru sana kama ni mmoja wa kufuatilia ulimwengu wa Kiswahili.Kwa bahati mbaya sina Email zao,Ila siku naipata nitakutumia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shukrani pia kwako. Hata ukipata ya BAKITA maana hata naona siku hizi hawako mtandaoni. Kazi njema na kheri ya mwaka mpya Christian

      Delete