Monday, August 8, 2011

NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI MHE.PHILIPO MULUGO ATOA SHILINGI 1,000,000 /= KUSAIDIA UJENZI WA CHUO KIKUU SONGEA

Hilo ni moja kati ya majengo ya chuo kikuu cha sayansi ya jamii  tawi la SAUTI Mjini Songea, Faculty of Social Science  ni jambo la faraja kupata vyuo vikuu kusini mwa Tanzania

No comments:

Post a Comment