Wednesday, August 10, 2011

Mafuta ya Petroli mjini Songea leo Lita shilingi 2,500 mwisho lita nne ( 4 )

Baada ya kukosekana kwa mafuta ya petroli katika visima vya kuuzia mafuta ya petroli mjini hapa,leo bei ya petroli imepanda kutoka sh.2,250/=  hadi sh. 2,500 /= kwa lita.

Aidha pamoja na kuuza bei hiyo lakini bado kuna masharti ya kununua lita nne tu si zaidi ya hapo wenye pikipiki,hata idadi ya pikipiki imeanza kupungua kutokana na uhaba wa mafuta.

No comments:

Post a Comment