Monday, August 8, 2011

HUWEZI AMINI NI WIKI SASA MJI WA SONGEA UKO GIZANI,HAKUNA NINACHO JIRI,HAKUNA MAFUTA ? AMA MITAMBO CHAKAVU ? HAKUNA MWENYE JIBU

majengo mazuri kama hayo yanapendeza mchana lakini usiku huyaoni kwa sababu ya giza tatizo umeme wa mafuta.Lakini wanao husika na masuala ya sekta hii hapa mkoani hawatoi taarifa kwa wananchi ni nini kisababishi cha ukosefu wa umeme maana bill wateja wanalipa tatizo liko wapi?

No comments:

Post a Comment