Wednesday, August 10, 2011

MAFUNDI JENERETA MJINI SONGEA NI WAKATI WAO WA KUVUNA KWA KUKOSEKANA KWA UMEME

 Mafundi wa kutengeneza majenereta mjini songea sasa ni wakati wao wa kuvuna kwa tatizo la umeme,utazani ni masihala kusikia watoto na watu wazima wakishangilia umeme unapo waka
Mafundi hawa wanatngenza jenereta la kituo cha uchapaji cha kagazeti vijijini TUJIFUNZE ambalo limefanya kazi kwa muda wa mrefu wa miaka mitatu bila ya kutengenezwa.

No comments:

Post a Comment