Saturday, August 13, 2011

SANAA NA WASANII IMEKUWA NI NJIA MOJA WAPO YA KUINJILISHA NENO LA MUNGU PIA KUPATA KIPATO KAMA JOYCE MLABWA NA CD YAKE YA BWANA U SEHEMU YAMGU

 Mwana - Miziki wa Injili JM.Joyce Mlabwa ni mwimbaji wa nyimbo za Injili na CD yake ya Bwana yu Sehemu yangu nimwana muziki chipukizi,Sasa sanaa hii ya nyimbo za dini imeshika kasi,na kazi za sanaa hii zinalipa.
Tatizo lililopo ni wasanii hawa wanaibiwa kazi zao,wako maharamia wanaopora kazi za wasanii hawa,kwa kuchoma CD,lakini pia wanaoitwa producer wanawaibia sana wasanii hawa.Je wasanii hawa wataibiwa kazi zao mpaka lini ? BASATA wanamajukumu gani katika kuwanusuru wanaii?

No comments:

Post a Comment