Tuesday, March 1, 2011

BARABARA YA SONGEA NJOMBE HAINA UFUNDI KWA MADEREVE ONA HIIII HAPO MAENEO YA MAWESO MADABA

 Hivyo ndivyo ilivyotokea siku ya Jumamosi iliyopita gari yenye usajili NambaT.962 AUN iliyokuwa ikiendeshwa na dereva aliyejulikana kwa jina moja Shomari ilivyo mshinda kona ya maeneo ya Maweso Madaba Songea Vijijini akiwa akielekea Iringa wala mwenye mali hakujulikana kuwa ni nani.
 Aliyesimama ni Bawna Abasi kapinga  nimmoja kati ya wasafiri aliyetoka kwenye ajala hiyo ambaye alikaa kiti cha mbele,kutokana na maelezo yake Bw.kapinga kuwa dereva alikuwa katika mwendo mkali kwenye kona hizo maarufu sana kama maji maji ,lukumburu.alisema walikuwa watu watatu akiwemo dereva,kwa hiyo dereva na abilia mwengine ambaye alikuwa mwanamke walikimbizwa hosipitali kwa matibabu baada ya kupata majeruhi.
Hawa ni kati ya wasafiri waliokuwa wakisafiri kwenda Mbeya na basi la Tonda Express ambao walipitwa na gari hilo Maweso.Ajali ni ajali lakini zisisababishwe na mbwembwe za madereva kama hawa.polieni sana majeruhi Mungu atawapa nguvu tena.

No comments:

Post a Comment