- Shina la mmnazi hutumika kwa ujenzi wa vibanga na nyumba.
- Kiungo cha mboga au chakula hasa wali.
- Mafuta ya kupikia au mafuta ya nywele.
- Vifuu hutumika kwa kutengeneza mapambo.
- Kuni.
- Majani kuezekea nyumba,vibanda,na mafagilio na hatimae,mitego ya samaki.
No comments:
Post a Comment