Friday, March 18, 2011

MBINGA MKOANI RUVUMA NA MIKAKATI YA KUINUA KIWANGO CHA TAALUMA NI JAMBO LA KUIGWA ?

 Wageni waliotembelea shule ya sekondari Nyoni Mbinga.

MIKAKATI walioweka ni kama ifoatavyo:-


  • kufundisha mada ngumu somo la hesabati
  • kubaini utoro kwa walimu na wanafunzi
  • kufanya ziara katika shule na ukaguzi
  • kujenga nyumba za walimu na vyamba.
  • kuhamasisha wananchi kuchangia chakula cha mchana kwa wanafunzi.msingi na sekondari.

2 comments:

  1. Hakika yakifuatiliwa haya yaliyotajwa tutafika mbali sana. Tatatizo ni kwamba kusema ni rahisi na utekelezaji ndo kasheshe..tusubiri tuone matokeo

    ReplyDelete
  2. Nashukuru sana Dada Yasinta kwa mchango wako wa maoni kuhusu utekelezaji wa kusukuma gurudumu la maendeleo nchini mwetu ingawa uko mbali.

    Unayosema ni kweli kabisa sisi watanzania ni mahodari wa kupanga mafanikio lakini utekelezaji wake unakuwa wa kusua sua.Lakini watu wa Mbinga wakipanga jambo lazima watekeleze.

    Wasipo tekeleza tuta wahoji kulikoni nanyie mnataka kuwa sawa na watu wa Tunduru.Kila la hkeri Ijumaa njema ya njia ya msalaba.

    ReplyDelete