Wednesday, March 16, 2011

Mvua imesababisha mazingira ya Manispaa ya Songea kuharibika

 Hiyo ni barabara  ya stand kuu karibu na Zahanati iliyo kuwa ya  Veris,ikielekea kwenye dumple la takataka ambayo inawapa shida madereva wanaokwenda kuzo taka hizo kwa lori.
Hilo ni Dumple lenyewe ambalo lipo chini ya barabara hiyo yenye mashimo sawa na mahandaki kwenye Manispaa hii ya songea.

1 comment:

  1. Mwenga! naanza kupata wasiwasi hapa mwenzenu. Maana naona barabara imeharibika kweli.Tatizo na mvua zinahitajika kipindi hiki. Bila hizo kugona njala.

    ReplyDelete