Kikundi cha MUKEJA cha uzalishaji mali cha Elimu ya Watu Wazima kijiji cha Kingerikiti Wilayani Mbinga wakicheza ngoma ya kioda siku ya kutembelea vikundi vya MUKEJA.
Kurugenzi wa Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi Bwana Salum Mnjagila wa katika mwenye kaunda suti alitembele wilaya hiyo kabla ya maazimisho ya juma la elimu ya Watu Wazima Kitaifa mwaka jana Maguu Mbinga

No comments:
Post a Comment