Wednesday, May 9, 2012

RAIS KIWETE ATEUA WAKUU WA WILAYA WAZAMANI 63 NA WAPYA 70 AMBAPO WAKONGWE MAJINA YAO HAYAPO- WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KAWATANGAZA


Tuna watakia uwajibikaji mwena wa kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetuWakuu hao waliyo tangazwa na Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Peter Pinda leo wakishirikiana na wadau wa sekta mbalimbali watakao wakuta katika wilaya waliyopangiwa ,ikiwa ni pamoja na kuhamasisha wananchi.Mkoani Ruvuma Songea Joseph Joseph Mkirikiti,Tunduru Chande Bakari Nalicho,Namtumbo Abdula S.Lutavi,Mbinga Senyi S.Ngaga na Nyasa ( Mpya ) Ernest N Kahindi.Karibuni sana Ruvuma.Katika wakuu hao waandishi wa habari wamo pamoja na watangazaji.

Majina na wilaya wanayokwenda wakuu wa wilaya za zamani 63 hayo:-

WAKUU WA WILAYA WA ZAMANI NA WILAYA WANAZOKWENDA  NI HAO

NA.   JINA         WILAYA ANAYO KWENDA
1.      James K. O. Millya    Longido
2.      Mathew S. Sedoyeka Sumbawanga
3.      Fatuma L. Kimario    Igunga
4.      Capt. (Mst.) James C. Yamungu           Serengeti
5.      Lt. (Mst.) Abdallah A. Kihato      Maswa
6.      Sarah Dumba    Njombe
7.      Jowika W. Kasunga   Monduli
8.      Elizabeth C. Mkwasa          Bahi
9.      Col. Issa E. Njiku       Misenyi
10.    John B. Henjewele     Tarime
11.    Elias W. Lali      Ngorongoro
12.    Raymond H. Mushi    Ilala
13.    Francis Miti       Ulanga
14.    Evarista N. Kalalu     Mufindi
15.    Mariam S. Lugaila     Misungwi
16.    Anna J. Magowa        Urambo
17.    Anatory K. Choya       Mbulu
18.    Fatma Salum Ally      Chamwino
19.    Deodatus L. Kinawiro         Chunya
20.    Ibrahim W. Marwa    Nyang’hwale (mpya)
21.    Dkt. Norman A. Sigalla       Mbeya
22.    Moshi M. Chang’a      Mkalama (mpya)
23.    Jordan M. Rugimbana        Kinondoni
24.    Georgina E. Bundala          Itilima (mpya)
25.    Halima M. Kihemba Kibaha
26.    Manzie O. Mangochie         Geita
27.    Abdula S. Lutavi        Namtumbo
28.    Zipporah L. Pangani Bukoba
29.    Dkt. Ibrahim H. Msengi      Moshi
30.    Col. Cosmas Kayombo        Kakonko (mpya)
31.    Lembris M. Kipuyo    Muleba
32.    Elinasi A. Pallangyo Rombo
33.    Queen M. Mlozi          Singida
34.    Juma S. Madaha        Ludewa
35.    Angelina Mabula       Butiama (mpya)
36.    Hadija H. Nyembo     Uvinza (mpya)
37.    Ernest N. Kahindi      Nyasa (mpya)
38.    Peter T. Kiroya Simanjiro
39.    John V. K. Mongella Arusha
40.    Baraka M. Konisaga Nyamagana
41.    Husna Mwilima          Mbogwe (mpya)
42.    Sophia E. Mjema        Temeke
43.    Francis Isaac     Chemba (mpya)
44.    Abihudi M. Saideya   Momba (mpya)
45.    Khalid J. Mandia       Babati
46.    Anna Rose Nyamubi Shinyanga
47.    Dani B. Makanga       Kasulu
48.    Amina J. Masenza     Ilemela
49.    Mercy E. Silla    Mkuranga
50.    Christopher R. Kangoye     Mpwapwa
51.    Lt. Edward O. Lenga           Kalambo (mpya)
52.    Halima O. Dendego   Tanga
53.    Lephy B. Gembe         Dodoma
54.    Saidi A. Amanzi          Morogoro
55.    Jackson W. Msome    Musoma
56.    Elias C. B. Goroi         Rorya
57.    Lt. Col. Benedict Kitenga   Kyerwa (mpya)
58.    Erasto Sima       Bariadi
59.    Nurdin H. Babu          Mafia
60.    Khanifa M. Karamagi         Gairo (mpya)
61.    Gishuli M. Charles     Buhigwe (mpya)
62.    Saveli M. Maketta      Kaliua (mpya)
63.    Darry Rwegasira        Karagwe

MAJINA 70 NA WILAYA WANAZOKWENDA WAKUU WA WILAYA HAO WAPYA NI HAO:-

1.      Novatus Makunga      Hai
2.      Mboni M. Mgaza         Mkinga
3.      Hanifa M. Selungu     Sikonge
4.      Christine S. Mndeme          Hanang
5.      Shaibu I. Ndemanga Mwanga
6.      Chrispin T. Meela      Rungwe
7.      Dr. Nasoro Ali Hamidi        Lindi
8.      Farida S. Mgomi         Masasi
9.      Jeremba D. Munasa Arumeru
10.    Majid Hemed Mwanga       Lushoto
11     Mrisho Gambo Korogwe
12.    Elias C. J. Tarimo      Kilosa
13.    Alfred E. Msovella      Kiteto
14.    Dkt. Leticia M. Warioba     Iringa
15.    Dkt. Michael Yunia Kadeghe      Mbozi
16.    Mrs. Karen Yunus      Sengerema
17.    Hassan E. Masala      Kilombero
18.    Bituni A. Msangi        Nzega
19.    Ephraem Mfingi Mmbaga Liwale
20.    Antony J. Mtaka         Mvomero
21.    Herman Clement Kapufi    Same
22.    Magareth Esther Malenga           Kyela
23.    Chande Bakari Nalicho      Tunduru
24.    Fatuma H. Toufiq      Manyoni
25.    Seleman Liwowa        Kilindi
26.    Josephine R. Matiro Makete
27.    Gerald J. Guninita     Kilolo
28.    Senyi S. Ngaga Mbinga
29.    Mary Tesha       Ukerewe
30.    Rodrick Mpogolo         Chato
31.    Christopher Magala   Newala
32.    Paza T. Mwamlima    Mpanda
33.    Richard Mbeho Biharamulo
34.    Jacqueline Liana       Magu
35.    Joshua Mirumbe        Bunda
36.    Constantine J. Kanyasu     Ngara
37.    Yahya E. Nawanda    Iramba
38.    Ulega H. Abadallah   Kilwa
39.    Paul Mzindakaya       Busega (mpya)
40.    Festo Kiswaga   Nanyumbu
41.    Wilman Kapenjama Ndile Mtwara
42.    Joseph Joseph Mkirikiti     Songea
43.    Ponsiano Nyami         Tandahimba
44.    Elibariki Immanuel Kingu          Kisarawe
45.    Suleiman O. Kumchaya      Tabora
46.    Dkt. Charles O. F. Mlingwa         Siha
47.    Manju Msambya        Ikungi (mpya)
48.    Omar S. Kwaangw’    Kondoa
49.    Venance M. Mwamoto        Kibondo
50.    Benson Mpesya          Kahama
51.    Daudi Felix Ntibenda         Karatu
52.    Ramadhani A. Maneno       Kigoma
53.    Sauda S. Mtondoo      Rufiji
54.    Gulamhusein Kifu     Mbarali
55.    Esterina Kilasi Wanging’ombe (mpya)
56.    Subira Mgalu    Muheza
57.    Martha Umbula          Kongwa
58.    Rosemary Kirigini      Meatu
59.    Agness Hokororo        Ruangwa
60.    Regina Chonjo Nachingwea
61.    Ahmed R. Kipozi        Bagamoyo
62.    Wilson Elisha Nkhambaku         Kishapu
63.    Amani K. Mwenegoha        Bukombe
64.    Hafsa M. Mtasiwa      Pangani
65.    Rosemary Staki Senyamule        Ileje
66.    Selemani Mzee Selemani   Kwimba
67.    Lt. Col. Ngemela E. Lubinga       Mlele (mpya)
68.    Iddi Kimanta     Nkasi
69.    Muhingo Rweyemamu        Handeni
70.    Lucy Mayenga   Uyui



No comments:

Post a Comment