Saturday, May 5, 2012

Breaking News!! ! !Mkuu wa wilaya Mbozi ajiuzuru ukuu wa wilaya baada ya kusikia jina lake halitakuwepo kwenye orodha wakuu wa wilaya watakao tangazwa na Rais mapema mwaka huu

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bwana Abas Kandoro amewaambia waandishi wa habari leo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Bwana Kimolo ameamua kujiuzuru baada ya kusikia kuwa jina lake halitakuwepo kwenye orodha ya wakuu wa wilaya watakao teuliwa na Rais kutokana na tuhuma nyingi zinazo mkabili mkuu huyo wa wilaya ya Mbozi.
  Lakini kwa kauli yake Bwana kimolo ni kwamba anajiuzuru kwa sababu atatu,lakini kati ya sababu hizo hakuna hata moja inayoonyesha tuhuma zozote.

No comments:

Post a Comment