Tuesday, May 1, 2012

MENEJA WA KIWANJA CHA NDEGE SONGEA APATA UFANYA KAZI BORA, ANAHAKI YA KUPATA TUZO HIYO MAANA NDEGE SASA ZINATUA

Bwana Valentine V.Fasha Air Port Manager SONGEA - RUVUMA - TANZANIA


MENEJA  wa uwanja wa ndege Songea Bwana Velentine  V. Fasha amesema kuwa ndege zinazo tua zinachukua abiria 13,kutoka Songea -Dar es Salaam na Dar es Salaam Songea.
Alisema kuwa iwapo mtu akikata tiketi wiki moja kabla atalipa nauli Tshs.250,000  ambapo mtu akikata tiketi zaidi ya wiki moja atalipa Tshs 350,000.Amesema leo kuna usafiri huo wa ndege.
Bw. Fasha amejinyakulia kitita cha Tshs.1,000,000 na cheti kwa ufanya kazi bora,Mtu anapofanya kazi yake kwa umakini na uaminifu kibusara apatiwe tuzo.
Mei  Mosi mwaka huu ni ‘ MISHAHARA DUNI,KODI KUBWA NA MFUMIKO WA BEI NI PIGO KWA WAFANYA KAZI’ kauli hiyo inaeleweka ! ! ! Nawatakia Mei Mosi njema wasomaji wote wa Blog hii.

1 comment:

  1. Nafurahi kusikia taarifa za usafiri wa ndege kwenda Songea. Je, ratiba ya hizi safari? Natanguliza shukrani.

    ReplyDelete