Saturday, May 5, 2012

Hayo nayo ni majigambo ya Simba kwa watani wao wa jadi Yanga



Mambo yote kesho dk 90 uwanjani ndipo tutakapo mjua nani zaidi Simba au Yanga.Nawatakia mafanikio mema wapenzi wa pande zote Hasa wenyewe akina Simba na Yanga.

No comments:

Post a Comment