Friday, May 4, 2012

NAWAFAGILIA WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI WOTE WAMEBAKIA

Dr.Shukuru J.Kawambwa (Mb ) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Naibu wake Philipo A.Mulugo wamebakia kwenye Wizara yao kwa kuwa na imani nao katika utendaji wa shughuli zao.Kwa kuwa wizara hiyo ni ya elimu na mafunzo ya ufundi ndiyo maana nimewapa hai kwa picha ya msanii wa  rangi ( Sanaa za Ufundi ).Kazeni buti kuinua taaluma ya vijana wa nchi hii.

No comments:

Post a Comment