Sunday, February 19, 2012

TUJIFUNZE KUSINI INAWALETEA UTAMADUNI WA WATU WA KUSINI KATIKA KUBURUDISHA KWA NGOMA ZAO

 Kukiwa na sherehe za Harusi,za dini,serikali ama mapokezi ya viongozi mbalimbali ngoma za Lizombe,Kioda,Ligambusa,Mhambo na Mganda zinatumbuiza.
 Hicho ni kikundi cha Lizombe cha Lizaboni katika Manispaa ya Songea kilihusika na mapokezi ya Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal  wiki iliyopita.Mkoani Ruvuma.
Hicho nacho ni kikundi cha kioda cha akinamama ambacho kilitoa burdani muruwa siku hiyo ya ugeni mkoani hapa.Siku nyingine nitakuletea kila ngoma na maeneo inakotoka kabila ambalo lenye asili ya ngoma husika.

1 comment:

  1. Yaani nimekumbuka kweli nyumbani Ahsante sana Siku nyingine naomba wakicheza kabisa kama inawezekana. Usengwili

    ReplyDelete