Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe.Said Thabit Mwambungu amewaambia waandishi wa habari wa mkoa huo kuwa serikali haitambui kuwepo kwa uchawi au ushirikina.Ila alisema kinacho tambuliwa na serikali ni tiba mbadala.
Alisema hata hao wenye tiba mbadala nao wanasababisha jamii isielewane hasa katika kupiga ramli,alisema ramli hizo zinasababisha ugomvi,kutoelewana kati ya familia ,jamii na jamii kutoelewana pale wanapoambiwa aliyemua ndugu yenu ni baba au babu ama bibi.Hivyo amewataka wananchi kuepukana nao wapiga ramli maana wanagombanisha jamii.

Mhe.Mwambungu
baadhi ya waandishi wa habari na wanachama wa Ruvuma Press Club.
No comments:
Post a Comment