Thursday, February 9, 2012

KAITBU WA CCM MKOANI RUVUMA ATEMBELEA OFISI ZA TUJIFUNZE KUSINI BWANA MTEMING'OMBE

 Katibu  wa CCM Bw.Mteming'ombe akisikiliza simu akiongea na mwanachama wakati akiwa kwenye ofisi za Tujifunze jana.
kielezea mshikamano wa uongozi wa CCM mkoani Ruvuma uliofanya wabunge wote katika majimbo kuwa wa CCM.
 Akiangalia mashine ya kushona vitabu katika kituo hicho
 Akiangalia Jenereta la kituo
Akisalimiana na wafanya kazi kituoni hapo jana.


Katibu  wa CCM asema mwamko wa Wanachama cha Mapinduzi CCM katika Mkoa wa Ruvuma ni mkubwa ingawa kunachangamoto chache.
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Mkoani Ruvuma Bwana Mteming’ombe ameimbia Blog hii kuwa wanachama wake katika mkoa wa Ruvuma wana mwamko mkubwa sana,ingawa kuna changamoto chache zinazotokana na viongozi ambao hawawajibiki ipasavyo.
Katibu huyo alisema wananchi wanakipenda chama chao,ila viongozi waliochaguliwa na wanachama hao wanakosa imani nao kwa kuwa hawawajibiki ipasavyo.
Kuhusu uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Lizaboni Katika Manispaa ya Songea ,maandalizi yake yamekamlika,kuziba nafasi ya Marehemu Ally Manya ambaye alikuwa Meya wa Manispaa ya Songea

No comments:

Post a Comment