Saturday, February 4, 2012

MATUKIO AJALI SI KWENYE MAGARI AU PIKIPIKI BALI HATA MIKOKOTENI KAMA UNAVYOONA MKOKOTENI ULIVYOINGIA KWENYE MTARO

 Mjasiliamali huyo alikuwa akipeleka bidhaa za dukani na mkokoteni,ambapo pembeni yake kuna mnada wa vitu mbalimbali lakini pia kando kulikuwa na mitaro ya kupitisha maji ya mvua,basi likamshinda nguvu gurudumu moja liliingia kwenye mtaro huo, hivyo ikamlazimu kusombelea bidha hizo.
Ajali hiyo imetokea leo kwenye Soko kuu la Manispaa ya Songea wakati mpiga picha za matukio alikuwa karibu na tulio hilo.

2 comments:

  1. Mwenga! Tena hiyo mikokoteni ni mibaya zaidi.

    ReplyDelete
  2. Bahati nzuri, inaonekana mwendesha mkokoteni, na wapita njia, walikuwa salama. Umenikumbusha mbali, kwa hii picha. Nilipita hapa mahali, mwaka jana, nikaingia humo katika ofisi ya intaneti. Mwezi ujao natarajia kuja tena, Insh'Allah.

    ReplyDelete