Sunday, February 5, 2012

NI TIMU IPI ITAPANDA DAJA KATI YA MAJIMA,MLELE JKT,MBEYA CITE AMBATO INAONGOZA KWA POINT,PRISON YA MBEYA,POLISI IRINGA NA SMALL KID?

 Mwenyekiti wa mpira wa miguu Bwana Joseph Mapunda Mkoani Ruvuma
 Mlale JKT
Ilivyo kuwa jana 



Ligi ya Taifa Daraja la kwanza zilizocheza katika viwanja vitatu hapo jana zilijumuisha timu za Majimaji ya Songea Mlale JKT  Ya Songea,Mbeya City na Prison zote za Mbeya,Polisi ya Iringa na Small Kid ambayo imeuzwa Da r es salaam na kituo chake ni Morogoro ambapo ilicheza jana. Ziko 9 ambapo kila kundi litatoa timu tatu .
Mwenyekiti wa mpira wa miguu Mkoani Ruvuma Bwana Joseph Mapunda ameongea na Blog hii  katika uwanja wa majimaji baada ya mechi kati ya majimaji na Mlale JKT kutoka bila bila, bila kufungana hapo jana na kugawana point mojamoja na kuwa na jumla ya point 8 kila mmoja.na  timu tatu ndizo zitaingia fainali.

No comments:

Post a Comment