Sunday, February 12, 2012

CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI RUVUMA PRESS CLUB KIMEFANYA MKUTANO WA MAREKEBISHO YA KATIBA YAO JANA MJINI SONGEA

 Katibu Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa habari Ruvuma ( Ruvuma Press Club RPC ) Bwana Endrew Chatwanga akimkaribisha mwenyekiti wa Chama hicho Bwana Endrew Kuchonjoma ili afungue mkutano.
 Mwenyekiti wa Ruvuma Press Club Bwana Endrew Kuchonjoma akifungua mkutano wa marekebisho ya Katiba ya umoja wa waandishi wa habari mkoani Ruvuma katika ukumbi wa Ushirika katika manispaa ya Songea Jana.
 Wanachama na viongozi wa Ruvuma Press Club wakimsikiliza Katibu Mtendaji huyo wakati akipitia Katiba hiyo kwenye mkutano huo katika ukumbi wa Ushirika katika Manispaa ya Songea jana.
 Katibu Mtendaji wa Ruvuma Press Club Bwana Edrew Chatwanga mwenye kipaza sauti akisoma Katiba kwa wanachama wa Club hiyo ili waweze kufanya mapitio na marekebisho pale ambapo panahitaji marekebisho hayo.
Wanachama wa Ruvuma Press Club akipitia Katiba wakati Katibu Mtendaji wa chama hicho akisoma katiba hiyo ili wanachama hao waweze kuona kwenye mapungufu ili waboreshe kwenye mapungufu hayo.

No comments:

Post a Comment