Friday, February 10, 2012

KAZI YA MEYA WA MANISPAA YA SONGEA MSTAHIKI CHARLES MHAGAMA INAANZA KUONEKA KATIKA BARABARA NA KUSOMBA TAKA

 Barabara itokayo CCM wilaya kuelekea kanisa la Aglikana katika Manispaa ya Songea,karibu barabara zote katika manispaa hii katikati zimewekwa lami sasa,walau kuonyesha hadhi ya manispaa kama zilivyo nyingine.
 Mtaa wa benki ya NBC na harakati za watu katika manispaa ya Songea
Harakati wajasiliamali katika kuhangaika na maisha yao ya kila siku,Manispaa ya Songea sasa ni safi.

No comments:

Post a Comment