Tuesday, February 14, 2012

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT MOHAMED GHARIB BILAL APOKEWA UWANJA WA NDEGE SONGEA KUANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUVUMA LEO

 Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt Mohamed Gharib Bilal akishuka kwenye ndege uwanja wa ndege Songea leo kuanza ziara ya kikazi.
 Dkt Bilal avishwa skafu na vijana wa Skauti baada ya kushuka kwenye ndege
 Makanu wa Rais akisalimiana na viongozi wa Mkoa wa Ruvuma katika uwanja wa ndege Songea leo.
 Anasalimiana na wananchi na viongozi
 Makamu wa Rais anasalimiana na makada wa Chama Cha Mapinduzi CCMA
 Anaangalia kikundi cha ngoma kilichofika kutumbuiza wakati wa mapokezi yake uwanjani hapo leo.

 Makamu wa Rais wakiwa na mkewe Mama Asha Bilal wakiangalia ngoma.

Kikundi cha kinamama wa kioda wakicheza mbele ya makamu wa Rais huwanjani hapo leo.

No comments:

Post a Comment