Tuesday, February 7, 2012

MICHEZO KESHO NDIYO KESHO NI NANI ATAIBUKA KIDEDEA

Ligi ya taifa daraja la kwanza kesho itaendelea katika uwanja wa majimaji kati ya wanyeji Mlale JKT na Mbeye City,timu ambayo inaasilimia kubwa ya kupanda daraia.
Mbeya City ndiyo inayongoza kwa point 14 zikifuatiwa na Majimaji,Mlale JKT,Polisi Iringa zenye point 8 na ya mwisho ni Prison ya Mbeya.
Wakazi wa Songea wanaitakia kila la heri JKT Mlale ishinde kwani ikipanda daraja wapenzi wa mpira wa mguu watapata fursa ya kuona mechi mbalimbali.

No comments:

Post a Comment