Tuesday, February 14, 2012

MAKAMU KUTEMBELEA HIFADHI YA CHAKULA YA TAIFA ( NFRA ) RUHUWIKO MANISPAA YA SONGEA

 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal Kionyesha shehena nyingine ya mahindi mbele yake wakati akitembezwa kuonyesha mahindi yanayo subiliwa kusombwa kusafirishwa.
 wako kwenye msafara wa kuelekea kwenye ukumbi wa kupiga picha ya pamoja
 Akielekea kwenye ukumbi huo
Picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa ghala hilo la kuhifadhi chakula,wafanyakazi wapatao 400.

No comments:

Post a Comment