Thursday, April 7, 2011

HABARI KWA UFUPI. VURUGU ZIME TANDA DODOMA NA DAR ES SALAAM KUHUSU MAONI YA KATIBA.

Uchangiaji wa maoni kuhusu katiba kutoka kwa wananchi ulitawaliwa na vurugu baada ya wanafunzi kutoka vyuo vikuu Dodoma kutaka kuingia katika ukumbi wa bunge wa Pius Msekwa kushindwa  kuchukuwa umati wote huo.Baada ya kuona wanazuoni hao kung'ang'ania kuingia umbini humo ndipo nguvu ya dola ikatumika kuwatawanya kwa kuvurumishia mabomu ya machozi.


Sambamba na matukio hayo Jijini Dar es salaam nako kulitoke vurugu kama ya Dodoma baada ya baadhi ya viongozi kuelezea umuhimu wa kutaka maoni kutoka kwa wananchi kuhusu katiba,taflani ikazuka hadi mchakato huo ukahairishwa hadi kesho.

No comments:

Post a Comment