Monday, April 11, 2011

SAMAHANI WASOMAJI WA BLOG HII SIKUWEPO KATIKA MTANDAO KUTOKANA NA SABABU ZA KIMTANDAO

Nipo tena katika mtandao  wa Blog hii,baada ya kutatua matizo ya kimtandao uliyo jitokeza,wala sikwenda kwa babu Loliondo kupata kikombe.

Ila inapendeza kweli kwenda kumwona babu live na kupata kikombe si lazima uwe mahututi,bali ni moja ya kuhakikisha miujiza ya Mungu ya kumshushia mtu dawa bila ya kupitia maabara.

karibuni sana.


1 comment: