Tuesday, April 12, 2011

HII NDIYO MANISPAA YA SONGEA MKOA WA RUVUMA MASHIMO MTINDO MMOJA KWENYE BARABARA ZAKE

 Hapa ni eneo la standi ya mabasi yaendayo wilayani vijijini,Ambapo watu wengi wanahangaika na shughuli za kuzalisha mali kwa kujiajili wenyewe kama kijana huyo hapo akiwa na mkokoteni wake.
Hii ni barabara katikati mji wa Songea ambayo inaafadhali shuhudia ukiingia  Misufini,Majengo,Ruvuma ndipo utakapojua  ni kiasi gani mvua ilivyo haribu mazingira ya Mji huuo.

No comments:

Post a Comment