Friday, April 22, 2011

LEO IJUMAA KUU !11 NAWATAKIA WA KRISTO WOTE DUNIANI IJUMAA KUU,NA KUWA TAKIA PASAKA NJEMA

Ni siku pekee kwa wakristo kukumbuka siku ambayo Yesu Kristo anakamatwa na kuteswa kisha kutundikwa Msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu baada ya Adamu na Hawa kukiuka maagizo waliyopewa na Mungu.

1 comment:

  1. Hakika ni kumbukumbu kumbwa sana ambayo inatubidi kuiga...Ijuma kuu iwe njema nawe pia pamoja na familia yako!

    ReplyDelete