KARIBU TANZANIA KUJIONEA MAAJABU YA DUNIA KATIKA MBUGA ZETU, VIVUTIO MBALILMBALI KATIKA MAKUMBUSHO YETU.KARIBU KUSINI MWA TANZANIA
Tuesday, April 12, 2011
KIIMFAACHO MTU KATIKA MAISHA YAKE NDICHO CHAKE TAZAMA HAWA
Kazi ni kazi mradi inamfanya mtu aendeshe maisha yake kama kusomesha,kujenga,mavazi na chakula bila kutegemea kwa mtu mwingine kwa kuomba.
Mbwana hawa ni maarufu sana wa kuuza kuku katika soko kuu la Manispaa ya Songea,huwezi kupata kuku sehemu nyingine katika soko kuu hili la Manispaa ya Songea.
Mwenga kunyumba kunyumba nimefurahi kweli kuona tena taswira ya kunyumba. Usengili...
ReplyDelete